Habari za Punde

Kamanda Mkadam Azungumza na Waandishi wa HabariKamanda Mkadam akionesha bastola iliyotumia katika uhalifu wa kumpora fedha mfanyabiashara katika maeneo ya rahaleo Zanzibar ikiwa na risasi zake kamili, ilihisika katika tukio hilo.. 
Kamanda Mkadam akionesha moja ya Silaha aina ya SMG ambayo ilikuwa haina magazine waliokuwa wakiitumia watuhumiwa wa uhalifu katika maeneo ya rahaleo na kuitupa katika eneo la msikiti wa muembeshauri.wakati wakikimbia.
Kamanda Mkadam akiwaonesha waandishi moja ya silaha aina ya Gobole,waliofanikiwa Jeshi la Polisi kumkamata mtuhumiwa wakati akijiandaa kwenda kufanya uhalifu maeneo ya mtoni.  
Waandishi wa habari wakifuatilia taarifa inayotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Kamanda Mkadam Khamis Mkadam, kuhusiana na uhalifu uliofanyika mwanzo mwa wiki hii katika maeneo ya Rahaleo na kumpora fedha shilingi milioni kumi na moja katika tukio hilo na polisi kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa hao, kwa ushirikiano wa Wananchi wa kwahani.

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.