Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi

 Mwakilishi wa jimbo la Kitope Makame Mshimba Mbarouk akichangia Mswada wa Sheria ya kuanzisha sheria za Hakimiliki za wagunduzi wa aina Mpya za Mbegu za Mimea katika Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.

 Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe Ismail Jussa Ladhu akichangia Mswada wa Sheria ya kuanzisha sheria za Hakimiliki za wagunduzi wa aina Mpya za Mbegu za Mimea katika Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.

Mwandishi nguli wa Habari wa Gazeti la Zanzibar Leo Mwantanga Ame akifanya  kazi yake ya Uandishi kwa Utulivu katika Ukumbi wa Juu Baraza la Wawakilishi lililoanza Leo huko Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.