Habari za Punde

Balozi Seif Azungumza na Waandishi kukamilika kwa Sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi Kesho.

 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na waandishi wa habari juu ya kukamilika kwa sherehe za Mapinduzi kutimia miaka 5, Maadhimisho yake yanatarajiwa kufanyika kesho katika viwanja vya Amaan  na kuhudhuriwa na Wageni mashahuri katika sherehe hizo 
 Waandhishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali viliko Zanzibar wakimsikiliza Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akitowa maelezo ya kwa kukamilika kwa maandalidhi ya sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa kesho katika viwanja vya Amaan Zanzibar. mazungumzo hayo yamefanyika Ofisi kwake Vuga.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.