Wananchi wakiwa katika foleni katika Ofisi ya Makao Makuu ya Shirika la Umeme Zanzibar wakifuata huduma ya Umeme wa Tukuza kutokana na vituo vyao kukosa huduma hiyo kutokana na ukosefu kwa mtandao na kuifanya huduma hiyo kupatikana katika Ofisi Kuu kutokana maarekebisho ya huduma ya Mtandao wa ununuzi wa umeme kupitia njia za simu. Huduma hiyo ilikuwa ya shida jana na kusababisha foleni kubwa kwawateja wa ZECO kufika katika ofisi hizo kupata huduma hiyo muhimu kwa matumizi ya binadamu.
WACHINA WAWILI WAKAMATWA DAR WAKISAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA WALIZOWEKA
KATIKA ‘VITABU FEKI’
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
WATUHUMIWA sita wakiwemo raia wawili wa China ambao wamefahamika kwa majina
ya Chein Bai na Qixian Xin wamekamatwa eneo la Post...
37 minutes ago
No comments:
Post a Comment