Habari za Punde

Gombani ilivyohemewa



KUTOKANA na Chama cha soka ZFA taifa Pemba, kuchelewa kufungua milango miwili, hasa kwenye michezo yenye watazamaji wengi, husababisha vurumai na fujo kwenye mlango mmoja, ambapo hali hiyo ilijitokeza juzi kwenye mchezo wa lidi daraja la kwanza taifa Pema, baina ya timu ya Shaba ya Kojani na Mwenge ya Wete uliofanyika katika uwanja wa Gombani  (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.