MSHAMBULIAJI
wa timu ya Mwenge Elam Sango, akiruka juu kukimbia daluga la mchezaji wa timu
ya Shaba, Yunus Hilali kwenye mchezo wa ligi daraja la kwanza taifa Pemba,
uliochezwa uwanja wa Gombani, ambapo timu ya Shaba ilishinda kwa magoli 2-1 (picha na Haji Nassor, Pemba)
MSHAMBULIAJI
machachari wa timu ya Shaba ya Kojani, Sadiki Ali (katikati) akiwatoka walinzi
wa timu ya Mwenge kwenye mchezo wa ligi daraja la kwanza taifa Pemba,
uliochezwa uwanja wa Gombani, ambapo katika mchezo huo Mwenge ilifungwa magoli 2-1 (picha na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment