Habari za Punde

TRA yafanya Semina kuhusu ukusanyaji wa kodi ya Zuwio Pemba

 AFISA forodha kutoka TRA Pemba, Abdalla Hassan akifungua semina kwa wahasibu na washika fedha kutoka taasisi mbali mbali za serikali kisiwani Pemba, juu ya ukusanyaji wa kodi ya zuwio.
 AFISA elimu kwa walipa kodi, Abdalla Seif kutoka TRA Unguja, akitoa elimu ya ukusanyaji wa kodi kwa wahaasibu na washika fedha kutoka katika taasisi mbali mbali za serikali kisiwani Pemba.
MDHAMINI wa forodha kutoka TRA Pemba, Habibu Saleh Sultani akifunga semina kwa waahasibu na washika fedha kutoka taasisi mbali mbali za serikali kisiwani pemba juu ya ukusanyaji wa kodi ya zuwio.
PICHA ZOTE NA BAKARI MUSSA PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.