Habari za Punde

Walemavu Pemba wajiendeleza na miradi, wapatiwa Semina

 WANAKIKUNDI cha upakasaji mikoba, makawa, vipochi vya ukili na upandaji miti kilichopo kijiji cha Changaweni wilaya ya Mkoani Pemba, ambao wengi wao ni walemavu, wakiwa kazini katika kazi yao hiyo ambapo mkoba mmoja wa kisasa wenye zipu ni shilingi 15,000/- hadi shilingi 12,000/- (picha na Haji Nassor, Pemba

Sheha wa shehia ya Vitongoji wilaya ya Chake chake Pemba Nd: Salim Ayoub akizungumza na wanajumuia ya ‘Matumaini mapya’ ya wanawake wenye ulemavu waliopo Vumba shehiani humo, akifungua mafunzo ya siku kumi juu ya ufugaji bora, uwekaji kumbu kumbu na utunzaji fedha mafunzo yaliofanyika skuli ya Vitongoji (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.