WAZIRI
wa sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Pfo, Makame
Mnyaa Mbarawa akikata utepe kuashiria kufungua mradi wa njia ya mawasiliano
(Microwave link) kwenye mtambo wa TTCL Michakaini Chakchake Pemba, ambapo
mawasiliano hayo yameunganisshwa baina Dar-es Salaam, Pemba na Unguja (picha na Haji Nassor, Pemba)
WAZIRI
wa sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Pfo, Makame
Mnyaa Mbarawa, akizungumza moja kwa moja (live) na watendaji wa TTCL walioko
jijini Dar –es Salaam, mara baada ya kuzindua mradi wa njia ya mawasiliano
(Microwave link) kwenye mtambo wa TTCL Michaini Chakchake Pemba, ambapo
mawasiliano hayo yameunganisshwa baina Dar-es Salaam, Pemba na Unguja (picha na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment