Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Nafasi za Mabolozi zote zinachukuliwa na WATANGANYIKA na Mpaka hizo nafasi za Maofisa Waandamizi au wasaidizi wa Balozi, Secreteriet wote ni Watanganyika....... Ndio maana Wakawa Wanangangania Muungano wa Serikali 1 ambayo inaendelea kuitawala Zanzibar na Wazanzibari...
Ukimuona Mzanzibari amewekwa kwenye Ubalozi basi ujue huo Sie.. Atakua ni Mbinafsi kama vile Wamakunduchi.. Akina Mzale, samia Suluhu, Abdulhamid Yahya..n.k
Hivi sasa CCM Wahafidhuna kutoka Unguja wanatumiliwa na Watwana CCM kutoka Tanganyika. Kuiharibu katiba ili waidhinishe Muungano ambao utaimaliza Zanzibar ..
Nafasi za Mabolozi zote zinachukuliwa na WATANGANYIKA na Mpaka hizo nafasi za Maofisa Waandamizi au wasaidizi wa Balozi, Secreteriet wote ni Watanganyika....... Ndio maana Wakawa Wanangangania Muungano wa Serikali 1 ambayo inaendelea kuitawala Zanzibar na Wazanzibari...
ReplyDeleteUkimuona Mzanzibari amewekwa kwenye Ubalozi basi ujue huo Sie.. Atakua ni Mbinafsi kama vile Wamakunduchi.. Akina Mzale, samia Suluhu, Abdulhamid Yahya..n.k