AFISA tawala wilaya ya Micheweni Pemba nd
: Ahmed Khalid akizungumza na masheha wa wilaya hiyo, ‘hawapo pichani’, kwenye
ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili, ya kutambulisha wasaidizi wa sheria, mafunzo
yaliofanyika kituo cha Huduma za sheria Pemba, kulia ni Mratibu wa kituo hicho
Fatma Hemed Khamis, na kushoto ni Afisa Mipango wake Safia Salehe Sultan (picha na Haji Nassor, Pemba)
MWANDISHI wa habari wa kujitegemea (kushoto) Rehema
Mohamed, anaeandikia shirika la magazeti ya serikali Zanzibar, akimhoji
mwananchi wa kijiji cha Pujini wilaya ya Chakechake, juu ya migogoro ya ardhi
iliojitokeza kijijini kwao hivi karibuni (picha
na Haji Nassor, Pemba
KATIBU wa halmashauri ya wilaya ya
Chakechake Hassan Abdalla Rashid (kushoto), akibadilishana mawazo na wananchi
wa shehia ya Pujini wilaya ya Chake chake juu namna ambavyo halmashauri
inafanya kazi zake za kukusanya mapato na mchango wake kwa wananchi (picha na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment