Habari za Punde

Wakaazi wa Kojani na Mpambani wahofia nyumba zao


WANANCHI zaidi ya 500 wa shehia za Kojani na Mpambani katika kisiwa cha Kojani, wilaya ya Wete Pemba, wamekuwa wakiishi kwa hofu, kutokana na nyumba zao kuingia maji ya chumvi kila msimu (bamvua) la maji yanapokupwa na kujaa sana (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.