Habari za Punde

Moshi wa kiwanda cha makonyo, Wakaazi wa Wawi na Mgogoni wahofia afya zao


BADO wananchi wa shehia za Wawi na Mgogoni wilaya ya Chakechake, wanaendelea na kuishi kwa wasiwasi mkubwa, wa kupata athari za moshi, kutokana na uwepo wa kiwanda cha mafuta ya makonyo na ariki ya mimea, katikati ya makaazi yao kwa muda mrefu sasa (picha na Haji Nassor, Pemba)

1 comment:

  1. Jee Kiwanda hiki Ndio kimetiliana Ubia na Wajapani? Kwasababu hapa hapa kwenye mtandao huu niliona picha na habari hizo... Na ikiwa ni hivyo jee Nembo ya Mafuta hayo ni ya Kijapani au ni ya Pemba...? Hii nikutokjana nakwamba Wajapani wana Ubia na Wamorocco katika Kiwanda cha mafuta na manukato ya mimea lakini kila wanachokiproduce kina Nembo ya Morocco.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.