Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Baadhi ya wajumbe wa Kamati za kitalaamu na Divishen za undaji wa Viwango vya Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) wakimskiliza Mkufunzi kutoka (TBS) Bw. Nickonia Mwabuka hayupo pichani alipokua akitoa maelezo kuhusu muundo upatikanaji wa viwango kwa taasisi husika.Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Prof. Ali Seif Mshimba akitoanasaha kwa wajumbe wa Kamati za kitalaamu na Divishen za undaji wa Viwango vya Taasisi ya Viwango Zanzibar pamoja na kumkaribisha mgeni rasmiKatibu Mkuu Wizara Biashara, Viwanda na Masoko Julian B. Raphael akizindua kamati za kitalaamu na Divishen za undaji wa Viwango vya Taasisi ya Viwango Zanzibar katika hafla iliyofanyika Grand Palace Hotel Mjini Zanzibar (kulia) Prof. Ali Seif Mshimba na (kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu Wizara Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum.Mkufunzi kutoka (TBS) Bw. Nickonia Mwabuka aliyesimama akitoa elimu juu muundo upatikanaji wa viwango kwa tasisi kusika katika hafla iliyofanyika Grand Palace Hotel Mjini Zanzibar.
Kinachosikitika katika Srikali hii ya SMZ CCM ni kuona Sura hizo za Wazee ambazo kwakeli Zimetuchosha kuziona... Zanzibar hivi sasa inavijana wengi sana wasomi wako Tanganyika wanasomesha katika vyuo vikuu au kufanya kazi nyengine za kitaalamu. Huku nyumbani ni Ukiritimba tu wakupeana Nafasi za kazi Vizee hao kwa hao japo wameshafikia muda wa kustaafu.. Kwanini nafasi kama hizi wasipewe vijana jamani????
Tuzo : NCAA Yajivunia Tuzo ya Kimataifa
-
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) Bw.
Abdul-Razaq Badru kupitia mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika jijini
Ar...

ReplyDelete