Habari za Punde

ZBS yazindua kamati za kitaalamu

DSC_1150 Baadhi ya wajumbe wa Kamati za kitalaamu na Divishen za undaji wa Viwango vya Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) wakimskiliza Mkufunzi kutoka (TBS) Bw. Nickonia Mwabuka hayupo pichani alipokua akitoa maelezo kuhusu muundo upatikanaji wa viwango kwa taasisi husika.DSC_1158 Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Prof. Ali Seif Mshimba akitoa nasaha kwa wajumbe wa Kamati za kitalaamu na Divishen za undaji wa Viwango vya Taasisi ya Viwango Zanzibar pamoja na kumkaribisha mgeni rasmiDSC_1169 Katibu Mkuu Wizara Biashara, Viwanda na Masoko Julian B. Raphael akizindua kamati za kitalaamu na Divishen za undaji wa Viwango vya Taasisi ya Viwango Zanzibar katika hafla iliyofanyika Grand Palace Hotel Mjini Zanzibar (kulia) Prof. Ali Seif Mshimba na (kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu Wizara Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum.DSC_1200Mkufunzi kutoka (TBS) Bw. Nickonia Mwabuka aliyesimama akitoa elimu juu muundo upatikanaji wa viwango kwa tasisi kusika katika hafla iliyofanyika Grand Palace Hotel Mjini Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

1 comment:

  1. Kinachosikitika katika Srikali hii ya SMZ CCM ni kuona Sura hizo za Wazee ambazo kwakeli Zimetuchosha kuziona... Zanzibar hivi sasa inavijana wengi sana wasomi wako Tanganyika wanasomesha katika vyuo vikuu au kufanya kazi nyengine za kitaalamu. Huku nyumbani ni Ukiritimba tu wakupeana Nafasi za kazi Vizee hao kwa hao japo wameshafikia muda wa kustaafu.. Kwanini nafasi kama hizi wasipewe vijana jamani????

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.