Habari za Punde

Hoteli ya Mkoani : Naam hivyi ndivyo ilivyo

MUASISI na jemedari wa mapinduzi ya Zanzibar na rais wa kwanza wa Zanzibar, marehemu Abeid Amani Karume, kwa makusudi aliamua kujenga hoteli za serikali, ili kutanua pato la taifa, ambapo kwa sasa majengo hayo yametelekezwa, ikiwemo lile la Mkoani Pemba ambalo limeshachakaa (picha na Haji Nassor, Pemba)

2 comments:

  1. Leo nakupa hongera ndugu mwandishi Haji Nassor, umetuwekea picha na maelezo yanayoendana na picha kabisa sio kama juzi kutuwekea gati ya Wete na kusema imeimarishwa. Hivi ndivyo inavyotakiwa, baya lisemwe kama lilivyo ili wakubwa waone na wapate fursa ya kujirekebisha.

    ReplyDelete
  2. ah! serekali haina fedha, pesa zote wanachangia muungano (tanganyika) ndio maana tanganyika wanataka serikali 2 ili tuendelee kuwabeba tu, kwa maelezo zaidi angalia habari hii mzalendo.net vichwa vya habari hivi (Majibu kwa Bw Omar Ilyas 1) na (Majibu kwa Bw Omar Ilyas 2) halafu atokee mpuuzi aseme sisi wazanzibari hatuwezi kuchangia mambo ya muungano

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.