Mafundi kutoka
shirika la Umeme Zanzibar tawi la Pemba (ZECO), wakiifunga Transfoma kwa ajili
ya kuwasambazia huduma ya umeme wananchi wa Shehia za Msuka kijiji cha Dodeani,
wilaya ya Micheweni Pemba, ambayo ilinunuliwa kwa pamoja baina ya wananchi na shirika
hilo, kutoka kulia ni fundi Abdallah Bakar Mohamed na kushoto ni Abdullwahid
Azizi Abdallah (picha na Haji Nassor,
Pemba)
Chifu Buhanga azindua kampeni ya mitandaoni ya kulinda amani
-
Na MWANDISHI WETU
CHIFU Buhanga wa Kabila la Wasukuma na Wazinza ambaye pia ni mwanaharakati
mzalendo wa masuala ya kijami na kisiasa, amezindua kampeni ma...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment