Habari za Punde

Zoezi la Uandikishaji Vitambulisho vya Taifa Laendelea Zanzibar.

 Wananchi wa Shehia ya Mchangai Unguja wakiwa katika foleni ya kujiandikisha katika viwanja vya Skuli ya Darajani, wakisubiri zao zao kuweza kujiandikisha Kitambulisho cha Taifa. 
 Bi.Umukruthum akiongozana na mjukuu wake katika viwanja vya Skuli ya Rahaleo, kushiriki katika zoezi la kujiandisha na kupata Kitambulisho cha Taifa cha Tanzania, zoezi hilolinaendelea katika shehei mbalimbali za Zanzibar, na Wananchi wengi wamejitokeza kujiandikisha.

3 comments:

  1. Msiba. Nakumbuka nikiwa bado mdogo nilimuona Bibi akiwa na kitambulisho chake cha Uraia wa Zanzibar. Pasi hii ilikua ndogo mithili ya Passport yenye gamba gumu.

    Kwa kipindi kirefu ilizagaa ndani huku na kule kwenye nyumba yake hadi ilipotoweka kabisa kutokana na kupoteza hadhi yake baada ya Zanzibar kujinakamisha kwenye uraia wa Mungano na Tanganyika.

    Leo tuna kitambulisho cha ukaazi ambacho hakina hadhi hata ya kushinda Driver Permit.

    Tunazidi kujinakamisha kwa kubatizwa kwa vitambulisho vya Tanganyika. Baada ya hii nawahakikishieni kitambulisho cha mzanzibari kitakuwa ni kibali cha kupiga kura tu cha kumchagua Gavana wa Zanzibar. Mzee Karume fufuka uje uone mambo.

    Haya yote ni majanga ya nchi iliyokosa viongozi wenye uzalendo wa dhati.

    ReplyDelete
  2. @ Anonymous 1..
    Sina lakuongeza isipokua nakupongeza kwa maelezo yako machache ambayo yanaukweli mtupu na masikitiko... Mimi mama angu mzazi na Bibi yangu (marehemu na maa wa Bibi yangu allah awalaze pema peponi) awalikua na wameviacha vitambulisho vyao vya uraia ambazo unazungumzia.. Gamba lake hata ulitienini halikatiki lilikua gumu na kama limefanywa kwa nyuzi nyuzi ukilichunguza kwa udani..... Baba wa bibiyangu alikwenda kuhiji 1945 na alikufia Makka pasporti yake ya uzanzibari mpaka leo tunazo kwenye nyaraka zetu ...inasikitisha kuona kwamba Wazanzibari wanatiwa jeke jeke na serikali wakakate vitambulisho vya Mtanganyika/ Tanzania huku Wazanzibari wameshasema bayaana kwamba hawataki Muungano..

    Ninachokisikia nikwamba baada ya Katiba kupitishwa na wazanzibari ..Zanzi ID itakua haina thamani tena, kila mtu anatakiwa awe na kitambulisho cha Mtanganyika.... Agenda yao nikutuweka kwenye mabano na wakaweza kutujua mitaa gani wajaze watu wa bara... Kuna siku tutakua kama tawi tu la Watanganyika.

    ReplyDelete
  3. anony 2 , umekosea kidogo , tayari tushakuwa tawi la tanganyika zamani tu , walianza serikali kuziunganisha, baadae chama , na sasa katiba , hii tujilaumu sisi kwa kuwa tunawapigia kura viongozi ambao hawana uchungu na nchi yetu , maneno matupu kama hayafanyi kazi basi tutumie nguvu, usisahau Mtume SAW amesema ukiona ovu lizuie kwa nguvu , ukiwa huwezi basi lipigie kelele kama tunavyofanya sasa, na ukiwa dhaifu kabisa wa imani basi lichukie , kwa hio tujitahidi tutumie nguvu sasa , damu itamwagika bila shaka tutapoteza maisha yetu na ya vipenzi vyetu , ikiwa maneno hayafanyi kazi njia ndio hio , angalieni duniani kote mambo yanayofanyika bila shaka serikali ya mtanganyika itasikia hili na kutupa uhuru wetu bila kelele wala mikwaruzo kutoka ......... tena huwa namshangaa mchonga ( Mwl Nyerere) alikuwa kimbelembele kuwapatia uhuru watu wengine kumbe huku anatudikteta visiwani haya haoni babu yule , mungu atamlipa kwa aliyoyatunguliza , hakuna lenye mwanzo ila lina mwisho , hatima ya muungano haiko mbali , tena wanajaribu kwa nguvu kuharibu nchi yetu kwa kila namna, angalieni mipira ilivyepewa kipaumbele ili kuwapotezea watu malengo , sio hivyo tu kinywaji kimeanza grand malt kesho itakuja kilimanjaro , nk , tugomee kwenda kwenye hio mipira yote na tuwaambie watoto wetu wenye kucheza hizo ligi wajitoe kucheza au watafute jezi zao za kawaida. Kwa wale wasiojua nia ya muungano hasa ni kuuondoa uisilamu na utamaduni wa kistaarabu wa kizanzibari ktk visiwa vyetu na ndio maana wametuganda kama kupe. Ndugu zanu waisilamu wa tanganyika wamelala japokuwa ni wengi kwa idadi zaidi ya asilimia 50% ya watanganyika wote( JK alizuia sensa kwa kuwa anafikiri watu hawajui kwa nini) nafasi zote sserikalini na mashirika ya serikali , nk hata waandishi wa habari ? hakuna fani ambayo waisilamu wanapewa nafasi , labda viongozi vivuli kugeresha jamii , mgawanyiko wa kazi na anafasi za masomo umewekwa kwa misingi ya dini , rangi na ukabila , amkeni waisilamu tanganyika

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.