Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi akimkabidhi zawadi Muuguzi Ramla
Kombo wa Kituo cha Afya Unguja Ukuu kwa kuwa miongoni mwa wauguzi
waliofanya vizuri zaidi mwaka huu katika maadhimisho ya siku ya wauguzi
Duniani yaliyofanyika Kidongochekundu.
Muuguzi Mkuu Kiongozi wa Zanzibar
Bi. Wanu Bakari Khamis akisoma risala ya siku ya wauguzi Duniani katika
maadhimisho yaliyofanyika katika hospitali ya Kidongochekundu.
Wauguzi wa Zanzibar
wakiimba nyimbo ya siku ya wauguzi Duniani katika maadhimisho yaliyofanyika
Hospitali ya wagonjwa wa akili Kidongochekundu.
Wauguzi
wa Zanzibar
wakila kiapo cha Utii katika maadhisho ya siku ya wauguzi Duniani
inayoadhimishwa kila ifikapo tarehe 12 Mei. Maadhimisho hayo yalifanyika
Hospitali ya wagonjwa wa akili Kidongochekundu .
Muuguzi
Rajab Khamis Rajab akipokea zawadi kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya ya Zanzibar kwa kuwa
miongoni mwa wauguzi waliotekeleza wajibu wao kwa ufanisi zaidi mwaka huu.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi akimkabidhi zawadi Muuguzi Ramla Kombo
wa Kituo cha Afya Unguja Ukuu kwa kuwa miongoni mwa wauguzi waliofanya
vizuri zaidi mwaka huu katika maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani
yaliyofanyika Kidongochekundu.
Wauguzi wa Zanzibar
wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dk. Muhammed Jidawi (hayupo
pichani) katika maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani yaliyfanyika Hospitali
ya wagonjwa wa akili Kidongochekundu.(Picha
na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
No comments:
Post a Comment