Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Atembelea Wananchi wa Kijambani

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi msaada wa chakula kwa ajili ya wananchi wa Kijiji cha Kijambani Jimbo la Matemwe Mkoa wa Kaskazini A Unguja, Sheha wa Kijini Ndg. Haji Makame, makabidhiano hayo yamefanyika katika kijiji cha Kijambani
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi msaada wa mashafu na juzuu za hitma kwa ajili ya matumizi ya msikiti wa Kijambani Matamwe, anayeshuhudia Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, hafla hiyo imefanyika katika kijiji cha kijambani matemwe unguja.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi fedha kwa ajili ya malipo ya mafundi wa ujenzi wa darasa la Wanawake la elimu ya Watu Wazima wa Kijiji cha Kijambani Matemwe, akipokea Bi Asha Faki wakati hafla ya kutembelea kijiji hicho huko Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi seti ya jezi Nahodha wa timu ya Simba Mweupe, Mtumwa Khamis, makabidhianohayo yamefanyika katika kijiji cha kijambani matamwe Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwahutubia wananchi wa kijiji cha kijambani, akiwa katika ziara yake kutembelea wananchi wa kijiji hicho na kutowa msaada kwa wananchi hao.akiongozana na Umoja wa Wake wa Wawakilishi na Wabunge wa CCM Zanzibar
MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akitowa nasaha zake kwa Wananchi wa Kijiji cha Kijambani Matemwe wakati wa ziara ya Mama Mwanamwema Shein na Ujumbe wake wa Umoja wa Wake wa Wawakilishi na Wabunge.
WANANCHI wa Kijiji cha Kijini wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, wakati akiwahutubia na kutowa nasaha zake kwa Wanakijiji hao wakati wa ziara yake katika kijiji hicho na kutowa misaada ya Vyakula na vifaa vya ujenzi
MWAKILISHI wa Jimbo la Matemwe Mhe Abdi Mossi Kombo, akizungumza wakati wa mkutano huo na kuto wa shukrani kwa msaada huo kwa Wananchi wa Jimbo lake
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Watoto wa kijiji cha kijambani alipofika katika kijiji hicho kuwatembelea na kutowa misaada ya vyakula na vifaa vya ujenzi
MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akitowa nasaha zake kwa Wananchi wa Kijiji cha Kijini Matemwe wakati wa ziara ya Mama Mwanamwema Shein na Ujumbe wake wa Umoja wa Wake wa Wawakilishi na Wabunge.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi juzuu na mashaf kwa ajili ya Madrasatul Kamaria ya Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini A Unguja 
WANANCHI wa Kijiji cha Kijini wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, wakati akiwahutubia na kutowa nasaha zake kwa Wanakijiji hao wakati wa ziara yake katika kijiji hicho na kutowa misaada ya Vyakula na vifaa vya ujenzi
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi msaada wa Chakula mwakilishi wa Wananchi wa Kijiji cha Kijini Ndg. Amour Mtumweni, kwa ajili ya matumizi ya wananchi wa kijiji hicho.

1 comment:

  1. HAHAHAHAHAHA
    Inaonyesha kwamba CCM Kure Visiwani imeanza mtindo wake wa kuwarainisha Watu wa Vijijini iri wawapatie kura zao ifikapo 2015.... Kwanini CCM hawa wawiri tu ndio wanatoa misaada? ivo hii Hela wanaitowa wapi hawa watu jemani aseee..... Wananchi wa vijiji ndio watakao waharibia Wazanzibari na Watanganyika wanaotaka Serikali 3...

    Ivo munafahamu kwamba hao wanajaribu kuwaloeka nyinyi ili musije kumshitaki balozi Segfu Ali Iddi..

    wanajifanya wanawapenda raia wao kumbe nikujionyesha na kuwakaanga kwa mafuta yao..

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.