Habari za Punde

Mkufunzi wa CAF Akitowa mafunzo kwa Wachezaji wa timu ya Polisi.

Mkufunzi na Kamisaa wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Muhsin Ali 'Kamara'akiwapa darsa ya sheria na kanuni za kimataifa za soka wanandinga na viongozi wa klabu ya Polisi inayokwenda Sudan kushiriki michuano ya CECAFA ya Nile Basin,
(Picha na Ali Cheupe)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.