Habari za Punde

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.


KATIBU WA BARAZA LA WAWAKILISHI MH. YAHYA HAMIS HAMAD ANAWAALIKA WANAHABARI WOTE KUHUDHURIA KATIKA MKUTANO WA UTANGULIZI WA KIKAO CHA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

MKUTANO HUO UTAFANYIKA KESHO SAA 03:00 ASUBUHI KATIKA UKUMBI WA BARAZA LA WAWAKILISHI MBWENI
NYOTE MNAKARIBISHWA
KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI KINATARAJIWA KUAZA TAREHE 14-5-2014 SAA 3.00 ASUBUHI 
KUAZA KWA KIKAO CHA BAHJETI 

IMETOLEWA NA MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.