Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh.
Pandu Ameir Kificho pamoja na Makatibu wake wakiongozwa na Askari wa Baraza
hilo wakiytoa nje ya ukumbi mara baada ya kuahirishwa kwa kikao cha baraza hilo
hapo Mbweni nje kidogo yha Mji wa Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
akiufunga Mkutano wa 16 wa Baraza la Wawakilishi uliokuwa ukifanykja katika
majengo ya Baraza hilo yaliopo Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh.
Pandu Ameir Kificho pamoja na Makatibu wake wakiongozwa na Askari wa Baraza
hilo wakitoa nje ya ukumbi mara baada ya kuahirishwa kwa kikao cha baraza hilo
hapo Mbweni nje kidogo yha Mji wa Zanzibar.(Picha na Hassan Issa wa –OMPR )
No comments:
Post a Comment