Habari za Punde

Hafla ya Kuwaaga Wastaafu wa Wizara ya Elimu Pemba.

Afisa Mdhamini Mstaafu  wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba,akitowa nasaha zake kwa Wafanyakazi wa Wizara hiyo katika hafla ya kuwaaga Wastaafu 17 wa Wizara hiyo Kisiwani Pemba .
Mmoja wa Wastaafu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,  Birehema Said Shamte, akisoma Risala ya Wastaafu Wenzake kwa Mgeni Rasmi ambae alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake, Mwanajuma Majid Abdalla.
Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Pemba Mhe. Mwanajuma Majid akizungumza na wakati wa hafla ya kuwaaga Wastaaf wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.