Habari za Punde

Wakuu wa Idara, Manispaa na halmashauri Unguja washiriki mafunzo ya haki za binadamu

  Sehemu ya washiriki wa mafunzo ya siku nne ya Wakuu wa Idara, Manispaa na Halmashauri za Unguja kuhusu mpango kazi wa kitaifa wa haki za binadam, yalioandaliwa na Tume ya Haki za Binadam na Utawala Bora. katika ukumbi wa Eacrotanal Mjini Zanzibar.
 Kamishna Tume ya Haki za Binadam na Utawala Bora Zanzibar Zahor Juma Khamis akifungua mafunzo ya siku nne ya Wakuu wa Idara, Manispaa na Halmashauri za Unguja kuhusu mpango kazi wa kitaifa wa haki za binadam, (kulia) Mkurugenzi wa Haki za Binadam na Utawala Bora Francis Nzuki na (kushoto) Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serekali Ofisi ya Dar es Salaam Bi. Alesia Mbuya.
 Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serekali  Bi. Alesia Mbuya akiteta kitu na Kamishna wa Tume ya Haki za Binadam na Utawala Bora Zanzibar Zahor Juma.
Kamishna Tume ya Haki za Binadam na Utawala Bora Zanzibar, Zahor Juma (alievaa koti) katika picha na washiriki wa mafunzo ya siku nne ya Wakuu wa Idara, Manispaa na Halmashauri za Unguja yanayofanyika Eacrotanal Mjini Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar).
 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.