Habari za Punde

Maendeleo ya michango wa Kumchangia Kijana Mwanaid Saleh Kupata Matibabu.

Tunashukuru kwa Michango Yenu kwani Kijana Mwanaid Saleh, tayari amehamishiwa Hospitali Kuu ya rufaa Mnazi Mmoja kutokea Bububu akiendelea na Matibabu kusubiri hatua zaidi za Matibabu Nje ya Nchi 

 Tunawashukuru wananchi wliojitokeza kumchangia Mwanaid Saleh,ili kupata Matibabu 
 Kwa sasa  Michango imefikia shilingi 444, 000/= Ikiwa katika Benki ya PBZ Tawi la Malindi Zanzibarhadi sasa.  

Wananchi waliojitokeza kumchangia kupitia Tigo Pesa  0715 424152. 

Omar Shamte Shs.4,000/= ,  Kupitia Wakala wa Tigo Pesa Shs 10,000/=,   Ziada Kikunga Shs 6000/= Khamis Suleiman M-PESA Shs 48,000/= na Maryam Hilal  Shs. 3000/=

Bado michango yenu inahitajika na tutazidi kukupeni taarifa kadri tutakavyoipokea kwani jumla ya pesa zinazohitajika takriban milioni 15 ili zimwezeshe kufanyiwa matibabu. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.