MWALIMU mkuu wa Chuo cha Uwalimu Benjamini Mkapa,
kilichpo Mchangamdogo Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, Said Mohamed
Seif, akisoma risala ya wanachuo katika mahafali ya 11 ya chuo hicho.(Picha na Maryam Salim, PEMBA.)
MENEJA wa Benki ya watu wa Zanzibar PBZ Tawi la
Pemba, Haji Machano Haji akizungumza na wanafunzi wa chuo cha Uwalimu Benjamini
Mkapa, kilichopo Mchanga Mdogo Mkoa wa kaskazini Pemba, wakati wa mahafali ya
11 ya wanafunzi chuoni hapo.(Picha na
Maryam Salim, PEMBA.)
MENEJA wa Benki ya watu wa Zanzibar PBZ, Tawi la
Pemba Haji Machano Haji, akimkabidhi cheti cha uhitimu mwanafunzi Seluwa Omar,
aliyehitimu mafunzo ya uwalimu katika Chuo cha Benjamini Mkapa, kilichpo Mchanga Mdogo mkoa wa kaskazini
Pemba. .(Picha na Maryam Salim, PEMBA.)
WANAFUNZI wa chuo Cha Uwalimu Benjamini Mkapa,
kilichpo Mchanga Mdogo Wilaya ya Wete Mkoa Wakaskazini Pemba, wakimkabidhi
zawadi Mgeri Rasmi katika mahafali ya 11 ya wanachuo hicho, ambaye ni Meneja wa
Baenk ya Watu wa Zanzibar PBZ,Tawil la Pemba Haji Machano Haji. .(Picha na Maryam Salim, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment