Habari za Punde

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya aliposoma bajeti ya Serikali 2014/2015

 
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa amenyanyua Mkoba wenye Bajeti ya Serikali alipokuwa anaenda kuwasilisha hotuba ya mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi  kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma.

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiingia ukumbi wa Bunge kwa ajili ya Bunge hilo kusomewa hotuba ya Bajeti ya Serikali na Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum leo mjini Dodoma
 Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akisindikizwa na askari wa Bunge kwenda kusoma Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma
 
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akifungua Mkoba wenye Bajeti ya Serikali ili aanze kuisoma.

 Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwasilisha hotuba ya mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma.
 
Baadhi ya Wabunge wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum alipokuwa anawasilisha mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi  kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dk. Servacius Likwalile (wa tatu kushoto mstari wa pili kutoka nyuma), Maafisa wakuu wa Serikali na baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.