Habari za Punde

Wagombea Nafasi za Uongozi CUF

Wagombea nafasi za kitaifa CUF. Kutoka kulia Mgombea nafasi ya Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad, Mgombea Uenyekiti Prof. Ibrahim Lipumba. Katikati ni mgombea mwengine wa Uenyekiti Chifu Lutalosa Yemba akifuatiwa na mgombea mwengine wa nafasi hiyo M'bezi Adam Bakar. Kushoto ni mgombea Makamu Mwenyekiti Taifa Juma Duni Haji (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.