Habari za Punde

Uchaguzi wa Viongozi CUF ukiendelea

 Mgombea nafasi ya Ukatibu Mkuu CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akijieleza kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa CUF Taifa, kuomba kuchaguliwa tena kushika nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Mkutano huo unafanyika Ubungo Plaza Dar es Salaam.
  Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CUF nafasi za wanawake, mara baada ya kutangazwa kushika nafasi hiyo.
Mgombea nafasi ya Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba akimpongeza Bi. Amina Abdallah Said, baada ya kuchaguliwa kuwa mjumbe wa mkutano mkuu Taifa kupitia nafasi za wanawake Wilaya ya Mkoani Pemba

 Mgombea nafasi ya Ukatibu Mkuu CUF Taifa Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akimpongeza Bi. Amina Abdallah Said, baada ya kuchaguliwa kuwa mjumbe wa mkutano mkuu Taifa kupitia nafasi za wanawake Wilaya ya Mkoani Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.