Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihoji bei ya ndizi mbivu katika soko la Wete.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea soko la Qatar, Chake Chake Pemba.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihoji bei ya samaki katika soko la Mtemani Wete. Bei ya samaki hawa ni shilingi 1500 hadi 3000 kwa samaki mmoja.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na mfanyabiashara za maboga katika soko Wete.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akielezea kuridhishwa na hatua ya ufugaji wa samaki Kiuyu Minugwini. (Picha na Salmin Said, OMKR).
Samaki 3000 kwa samaki mmoja ? Tumezungukwa na bahari enyi matajiri ekezeni kwenye sekta ya uvuvi znz tumezungukwa na samaki
ReplyDeleteTumeshughudia kwa miaka sasa Maalim amekuwa akitembelea masoko kila baada ya mda. Lakini ni nini faida ya hizo ziara zake?
ReplyDeleteFaida haipatikani iwapo uzalishaji hauwendi kuzidi mahitaji.Hii ndio siri kubwa katika ukombozi wa kweli wa wananchi wa mahitaji yao ya kila siku.Wacha Maalim Seif,insha'allah awe Rais wa nchi,madamu vishawishi vya uzalishaji havina vivutio kwa wawekezaji,yaguju,hapana liwalo.
ReplyDeleteIna maana mtu mmoja tu(Rais) ndio anaetekeleza majukumu yote ya Taifa. Na Kama hivyo ndivyo kwanini ameukabali huo Umakamo ambapo fedha nyingi Sana ya walipa kodi hutumika.
ReplyDelete