Habari za Punde

Maalim Seif afutari na wananchi wa Piki

 Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba (katikati),Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na viongozi mbali mbali, wakiungana na wananchi wa kijiji cha Piki Wilaya ya Wete Katika futari ya pamoja na wanakijiji hao.
  Viongozi mbali mbali wakiwa katika sala ya Magharibi katika viwanja vya skuli ya Piki Wilaya ya Wete, kisiwani Pemba
 Wananchi wa kijiji cha Piki wakijumuika pamoja katika futari iliyoandaliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad

Picha na Salmin Said, OMKR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.