MAKAMU wa kwanza wa rais wa Zanzibar Mhe:
maalim Seif Sharif Hamad, akiwa na Katibu wa baraza la mji wa Chakechake Nassor
Suleiman Zaharan, mara Makamu huyo alipofika kwenye soko la mji wa huo, ili
kuangalia bei za bidhaa mbali mbali, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku sita
kisiwani Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
MAKAMU wa kwanza wa rais wa Zanzibar Mhe:
maalim Seif Sharif Hamad, akisikiliza mnada wa ndizi, kwenye soko kuu la mjini
Chakechake, ambapo ndizi moja ya mkono, iliiuzwa hadi shilingi 40,000, makamu huyo,
alifika sokoni hapo kuangalia bei za bidhaa mbali mbali, ikiwa ni sehemu ya
ziara yake ya siku sita kisiwani Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
MAKAMU wa kwanza wa rais wa Zanzibar Mhe: maalim
Seif Sharif Hamad, akisikiliza kilio cha ufinyu wa soko na ukosefu wa vyoo sokoni
hapo, kutoka kwa mfanyabiashara nd: Omar Shaali, wakati Makamu huyo alipokuwa
sokoni hapo kuangalia bei za bidhaa mbali mbali, ikiwa ni sehemu ya ziara yake
ya siku sita kisiwani Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
MAKAMU wa kwanza wa rais wa Zanzibar Mhe: maalim Seif Sharif Hamad, akiuliza bei ya tangawizi na viazi mbatata, kwa mfanyabiashara ambae hakupatikana jina lake, katika soko la Qatar mjini Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba)
MAKAMU wa kwanza wa rais wa Zanzibar Mhe:
maalim Seif Sharif Hamad (kulia), akiwa na Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe:
Dadi Faki Dadi akiuliza bei ya chungwa na ndimu, kwenye soko kuu la mjini Wete
Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
MAKAMU wa kwanza wa rais wa Zanzibar Mhe:
maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia nazi na kujua bei yake, kwenye soko kuu la
mji wa Wete Pemba, alipofika sokoni hapo kuangalia bei mbali mbali za bidhaa,
ambapo bei ya nazi kwa sasa ni kati ya shilingi 900 hadi shilingi 1000 sokoni
hapo (picha
na Haji Nassor, Pemba)
KULIA ni Mkuu wa wilaya ya Wete Pemba,
Omar Khamis Othuman, akimuelezea jambo, Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar
Mhe: maalim Seif Sharif Hamad, wakati makamu huyo alipofika kwenye soko kuu la
mji wa wete, kuangalia bidhaa bei za mbali mbali (picha na Haji Nassor, Pemba)
MAKAMU wa kwanza wa rais wa Zanzibar Mhe:
maalim Seif Sharif Hamad (kushoto), akiwa na Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba
Mhe: Dadi Faki Dadi akiuliza bei ya chaza na kombe, kwenye soko kuu la mjini
Wete Pemba, ambapo mtungo mmoja ni kati ya shilingi 300 na shilingi 500 (picha
na Haji Nassor, Pemba)
MAKAMU wa kwanza wa rais wa Zanzibar Mhe: maalim
Seif Sharif Hamad, akizungumza jambo na mfanyabiashara wa shoki shoki, kwenye
soko la Mtemani wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
MFANYABIASHARA wa soko dogo la Mtemani Wete,
akimtajia bei za harage na mchele Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar Mhe:
maalim Seif Sharif Hamad, wakati alipofika sokoni hapo kuangalia bei za bidhaa
mbali mbali (picha na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment