Habari za Punde

Maalim Seif atembelea na kufariji wagonjwa Mkoani, Chake Pemba







Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa katika Wilaya ya Mkoani Pemba. (Picha na Salmin Said, OMKR)




 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa kisiwani Pemba ambapo leo alikuwa Wilaya ya Chake Chake. Ametembelea jumla ya wagonjwa wanane katika vijiji tofauti vya Wilaya hiyo vikiwemo, Chonga, Wesha, Ziwani, Wawi na Vitongoji Kibokoni.
Watoto mbali mbali wakimsubiri Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad katika mitaa ya Wilaya ya Chake chake, ili waweze kumsalimia. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.