Habari za Punde

Rais Kikwete Aandaa Futari kwa Viongozi wa Dini ya Kiislam Ikulu Dar -es-Salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  katika furari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni Ikulu Dar.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  kwa kuhudhuria katika furari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam
 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum (aliyesimama kushoto), akitoa neno la Shukurani baada ya  futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni

Sehemu ya waliohudhuria katika  futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam
 Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014(Picha na Ikulu)



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.