Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Atembelea Skuli Mpya ya Sekondari Mkanyageni Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wajenzi wa Skuli ya Sekondari Mkanyageni,alipofanya ziara kutembelea skuli hiyo kuona maendeleo ya Ujenzi wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg Abdalla Mzee akitowa maelezo ya Ujenzi wa Skuli hiyo ya Sekondari ya Wilaya Kisiwani Pemba,alipfanya ziara kutembelea ujenzi huo na kujionea maendeleo yake ikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi huo.
Wajenzi wa Skuli Mpya ya Sekondari ya Mkanyageni wa Kampuni ya Ujenzi ya Runs, wakimsikiliza Ris wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, alipotembelea Ujenzi huo, katika Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, akiangalia michoro ya majengo ya Skuli hiyo alipowasili watika wa ziara yake kukagua miradi ya maendeleo kisiwani Pemba. kulia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Ali Juma Shamhuna na Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Mhe. Abdalla Ramadhan Shaban. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindu Dkt. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Inninia wa Wizara ya Elimu Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg. Khamis Rashid akitowa maelezo ya michoro ya Majengo Mapya ya Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Pemba.kulia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Ali Juma Shamuhuna.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, akizungumza baada ya kupata maelezo ya Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Pemba,wakati wa ziara yake ya siku tatu kisiwani Pemba kutembelea miradi ya Maendeleokisiwani huo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akikagua ujenzi huo akiwa katika moja ya madarasa ya jengo hilo alipokuwa akitembelea. 
       Rais wa Zanzibar Dkt. Shein, akitembelea majengo mapya ya Skuli ya Sekondari Mkanyageni Pemba.
Rais wa Zanzibar akifurahia ujenzi huo wa Skuli Mpya ya Sekondari ya Mkanyageni alipokuwa akitembelea majengo hayo akiwa katika ziara yake kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Elimu Zanzibar Ali Juma Shamuhuna wakitembelea jengo la mkahawa wa skuli hiyo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.