Habari za Punde

Wawaaa Uwanja wa Watoto Kariakoo. Huooooo....... hatua za mwisho.

 Uwanja wa Kufurahishia Watoto Kariakoo ukiwa tayari takribai asilimia nyingi kutokana na kuendelea na ufungwaji wa pembea katika uwanja huo na kutia matumaini Watpto wetu mwaka huu watakumbukia enzi zile za uwanja huu kwa burudani za pembea mbalimbali na huduma nyengine za michezo ya watoto kiwanjani hapo.


1 comment:

  1. A/A huu uwanja ni wa serikali au ushabinfsishwa?, au anaeutengeneza ni mfadhili gani?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.