Habari za Punde

Chama cha wanasheria Z'bar kukutana na waandishi wa habari leo

Chama cha Wanasheria Zanzibar kitafanya Mkutano na Waandishi wa Habari leo tarehe 27-08-2014 saa nne asubuhi katika Ukumbi wa Watu wenye Ulemavu uliopo Wailes, Zanzibar kuzungumzia kadhia ya Wazanzibari wanaokamatwa, kusafirishwa na kufunguliwa kesi nje ya Zanzibar na mambo mengineyo yaliyojitokeza kuhusiana na kadhia hii.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.