Habari za Punde

Mtaalamu wa vichekesho Hussein China


Cheif wa blog ya swahilivilla Abou Shatry kutoka Washington DC nchini Marekani akipata picha ya pamoja na Mtaalamu wa Vichekesho, Hussein China, baada ya miaka 15 kutoonana kijiweni Jijini Dar, katika mpango mzima wa kipindi cha Msakatonge na Azamtv bigwa wa vichekesho kuandaa mualiko rasmi.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.