Habari za Punde

Mitaani Zenj

Mandhari ya Darajani ikiwa katika hali ya mazingira mazuri bila ya msongamano wa magari na wananchi wakiwa katika harakati zao za kujitafutia mahitaji katika marikuti hiyo.

1 comment:

  1. Ndugu mwandishi Darajani iko shwari bola msongamano lakini ingekuwa busara ukatuonesha name ile kanyakanya ya msongamano isiyo name sababu pale Kisiwandui C C M mpaka Michezani.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.