Habari za Punde

Mji Mkongwe Zenj

 Mtaa wa historia katika mji mkongwe wa Zenj na unaoongoza kwa biashara ya Vivutio vya Utalii Zanzibar na hutembelewa na wageni mbalimbali wanaofika Unguja bila ya kutembea mji mkongwe hukufika Unguja na kujionea jinsi ya Wananchi wa enzi hizo walivyokuwa wakitumia mitaa hiyo kwa usafiri wa baskeli  kila dakika baskeli hiyo na kusikia kengele kingo.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.