Habari za Punde

Muonekano wa Uwanja wa Amaan na Soko la Mwanakwerekwe Zanzibar.

Muonekano wa uwanja wa Kimataifa wa Amaan ukionekana kwa juu baada ya kuchukuliwa picha hiyo nikiwa katika ndege hivi karibuni.


Muonekano wa Marikiti Kuu ya Mwanakwerekwe Zanzibar ikionekana kwa juu eneo la marikiti hiyo likiwa limependeza kwa kupambwa na majengo ya soko hilo na nyumba za jirani na soko hilo picha hii nimepiga nikiwa angani katika ndege

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.