Habari za Punde

Rais wa Zanzibar aondoka nchini kuelekea Visiwa vya Samoa




 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akielekea katika    Visiwa vya Samoa  kwa ziara ya siku tano
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Makamu wa pili wa Rais Balozi Seif Iddi Ali huku Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad akishuhudia
.[Picha zote na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.