Habari za Punde

Balozi Seif atimiza ahadi ya matofali skuli ya msingi Ali Khamis Camp


MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mhe:Juma Kassim Tindwa mwenyeshati nyeupe, akimkabidhi matufali 1000, Mwalimu Mkuu wa skuli ya Msingi Alkhamis Camp Eugene Rutegengwa, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, alipoitembelea skuli hiyo mwezi Januari mwaka huu.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.