Habari za Punde

Umeme unavyosambazwa vijijini Pemba




KUWEPO kuwa Umeme wa Uhakika kisiwani Pemba Kutoka Mkoani Tanga kupitia Chini ya Bahari, tayari wananchi waishio katika visiwa Vidogo Vidogo wamekuwa wakinufaika na huduma hiyo, Pichani nguzo za Umeme zilizoko katika ya bahari kutoka likoni kuelekea katika kisiwa cha Kojani Wilaya ya Wete.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.