Habari za Punde

Dk Bilal aifariji familia ya Spika mstaafu wa BLW

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpa pole mjane wa aliyekuwa Spika wa Zamani wa  Baraza la Wawakilishi Zanzinzibar Mhe. Ali Khamis aliyefariki hivi karibuni, wakati alipofika nyumbani kwake Mbweni Zanzibar leo.
 


Dua ya pamoja na Familia ya Marehemu. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.