Habari za Punde

Mchezo wa Kirafiki Kati ya Timu ya Wachezaji wa Zamani wa Simba na wa Zanzibar.


Kikosi cha Wachezaji Mavetarani wa Simba wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao wa kirafiki na Wachezaji wa Maveterani wa Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sare ya 3--3.

Wachezaji Mavyeterani wa Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao wa kirafiki na Maveterani wa Simba mchezo uliofanyika katika uwanja wa Amaan.
Maveterani wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliowakutanisha katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan.Timu hizo zimretoka sare ya 3--3 
Mchezaji wa Zanzibar Veterani Ali Sharif (Adof) akijiandaa kumzuiya mchezaji wa Veterani wa Simba wakasti wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan, timu hizo zimetoka sare ya 3--3. 
Mchezaji wa Veterani ya Zanzibar Bwanga askiwapita maveterani wa Simba katika mchezo wao wa kirafiki kuonesha uwezo wao wakati wa enzi zao 



Mchezaji Duac Said, mwenye mpira akiwapita mabeki wa timu ya Zanzibar Veterani katika mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan.
                  Mchezaji Dua Said akimpita beki wa Zanzibar Veterani Khatib Sinapu

Mchezaji wa Simba Veterani Thomas Kipesa akimpita beki wa timu ya Zanzibar Veterani Sheha wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sare ya 3--3



Benchi la wachezaji wa zamani wa Simba wakifuatilia mchezo wao wa kirafiki kati yao na Wachezaji wa zamani wa timu ya Taifa.
Mchezaji wa zamani wa timu ya Annur na Malindi Ali Adof akipongezana na mchezaji wa zamani Simba Madaraka Suleiman. baada ya mchezo wao kumalizika kwa kutoka sare ya 3--3. 
Wachezaji wa zamani wa Timu ya Simba wakiwa na wachezaji wa zamani wa Timu ya Taifa na timu za Zanzibar wakipongezana baada ya mchezo wa kirafiki kumalizika kwa sare ya mabao 3--3, mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.mwenye jezi namba 18 Shem Frenk na jezi namba 15 Mbengu Mohammed.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.