Habari za Punde

Wizara ya Afya yatoa elimu ya maradhi yasioambukiza

 Mkurugenzi Idara ya Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Mohd Dahoma akifungua Semina ya Waandishi wa Habari kuhusu Magonjwa yasiyoambukiza katika Ukumbi wa Ofisi ya Malaria Mwanakwerekwe Zanzibar.

 Dkt. Ahlam Ali akiwasilisha mada ya maradhi  ya Presha katika Semina ya Waandishi wa Habari iliyohusu magonjwa yasiyoambukiza katika  Ofisi ya Malaria Zanzibar
 Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC)
Hassan Vuai akitoa mchango  katika Semina ya Waandishi wa Habari kuhusu ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza.

 Waandishi wa Habari kutoka Vyombo vya Habari vya Serikali na Binafsi walioshiriki   Semina  hiyo wakiwasikiliza watoa mada.

Meneja wa wa Kitengo cha maradhi yasiyoambukiza Dkt. Omar Mwalimu Omar akitoa ufafanuzi wa masuala yaliyoulizwa na Waandishi wa Habari katika Semina iliyojadili magonjwa yasiyoambukiza.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.