Habari za Punde

Huduma ya tiba kwa wanyama

DK Ringo Aaron akimfanyia upasuaji Paka kwa kutoa uzazi, huko Ofisini kwakwe Wete, ambapo huduma hiyo ya upasuaji kwa wanyama ni moja kati ya huduma za kitabibu zinazotolewa na Idara ya Utabibu Pemba. (Picha na Asha Salim, WUVM Pemba.)

1 comment:

  1. Bora mutibu hao paka maana kutibu watu mushashindwa .

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.