Habari za Punde

Kazi ya kumalizia kuandika Katiba mpya ikiendelea



Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum Mhe. Andrew Chenge (mjumbe) akiongoza kikao cha kamati hiyo jana ambapo kamati hiyo inamalizia uandishi wa Katiba pendekeze inayotarajiwa kuwasilishwa Bungeni Jumatatu wiki hii. Kamati hiyo inachambua maoni ya taarifa za Kamati pamoja na michango ya Wajumbe wakati wa Mjadala na kuyaweka maoni hayo pamoja na kisha kuandaa katiba inayopendekezwa.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.